Kwa nini sellers wanatumia fulfill
Picha ya item na bei kamili
Mteja anaona picha, size, colour, delivery fee na total kwa link ya shop yako, si screenshot tu.
Punguza maswali ya 'imefika?'
Tuma tracking link aone parcel imepakiwa, iko njiani, ama imefikishwa bila kukutext kila saa.
Jua rider yupi ako na pesa zako
Kama mteja amelipa cash on delivery, unaona ni boda ama rider yupi bado ako na pesa hadi akutumie M-Pesa.
Vile inafanya kazi
Maswali ya mara kwa mara
- Kwani mteja anahitaji ku-download app?
- Hapana. Mteja anafungua link kwa browser ya simu yake bila app wala ku-create account.
- Inalipiwa aje?
- Oda 5 za kwanza kila mwezi ni bure. Pro ni KSh 299 kwa mwezi kwa oda unlimited, na unalipa na M-Pesa.

